Saccos hiyo iliitwa shalom saccos Limited na kupata usajili namba SIR/733.
Ili uweze kupata mkopo unao hitaji lazima uwe na vigezo vifuatavyo:-
VIAMBATANISHO WAKATI WA KUCHUKUA MKOPO.
- Uwe umejiunga kwenye shalom vicoba group na kulipia kiingilio cha Tshs. 30,000/=
- Uwe umenunua HISA za msingi 20 ambapo kila Hisa huuzwa kwa Tshs 10,000/= na Jumla kupelekea Tshs. 200,000/=
- Uwe mtendakazi kwenye makanisa yenye ushirika wenza na shirika la Compassion International Tanzania.
- Uwe na mkataba wa kazi wa sasa.
- Uwe na AKIBA itakayokuwezesha kukopa mara tatu ya kiwango unachohitaji. Mfano unataka kukopa milioni tatu, basi LAZIMA uwe na AKIBA ya Tshs. 1,000,000/=
VIAMBATANISHO WAKATI WA KUCHUKUA MKOPO.
- Fomu ya mkopo ambayo inapatikana kwa Tshs. 10,000/= tu.
- Mkataba wa ajira
- salary slip tatu za hivi karibuni zilizosainiwa na mwajiri na kuwekwa Muhuri.
- standing order ya Benki